Kongamano la Fursa za Kilimo Biashara: 6/8/2019 Viwanja vya Nyakabindi, wilaya ya Bariadi, Simiyu.

    Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) ikishirikiana na Wakuu wa mikoa ya Simiyu, Shinyanga na Mara (kanda ya ziwa mashariki), Wizara zenye dhamana ya kilimo, uvuvi na ufugaji pamoja na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), wameandaa kongamano la fursa za kilimo biashara litakalofanyika sambamba na maonesho ya Nane Nane katika viwanja vya Nyakabindi, wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu siku ya tarehe 6/8/2019 kuanzia saa tatu asubuhi. Kongamano litafunguliwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda.

    Ili kushiriki pakua taarifa zaidi hapa.
    Last updated on 2019-07-27
ESRFs activities are supported by the Government of the United Republic of Tanzania, United Nations Development Programme (UNDP), African Capacity Building Foundation (ACBF) and International Development Research Centre (IDRC)