Mwongozo wa Mipango Miji.

    Manufaa ya upangaji:

  • Kuweka utararibu mzuri wa kuishi kwa pamoja.
  • Kutumia vizuri eneo la ardhi lililopo.
  • Kutenga maeneo ya wazi kwa kupumzikia, na pia kwa ajili ya ujenzi wa shule, zahanati na kadhalika.
  • Kuhakikisha kuwa kila eneo linafikika kwa urahisi, linapata hewa nzuri ya kutosha pamoja na mwanga wa kutosha.
  • Kupunguza gharama za kupitisha bomba za maji pamoja na bomba za maji machafu/taka. Kuondoa migongano baina ya wakazi wa eneo hilo

    Soma Zaidi


  • Last updated on 2017-08-23
ESRFs activities are supported by the Government of the United Republic of Tanzania, United Nations Development Programme (UNDP), African Capacity Building Foundation (ACBF) and International Development Research Centre (IDRC)