Dodoso la tathmini ya utekelezaji wa sera ya taifa ya vijana (2007).

    Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ikishirikiana na Economic and Social Research Foundation wanakusanya taarifa muhimu kutoka kwa vijana na wadau wa maendeleo ya vijana ili kuona kama malengo na matamko ya Sera ya Maendeleo ya Vijana ya mwaka 2007 yamefikiwa kwa kipindi cha miaka 8 ya utekelezaji wa Sera hii. Taarifa zitakazopatikana zitakuwa ni siri na zitatumika kwa malengo yaliyokusudiwa. Fungua Dodoso


    Last updated on 2015-11-30
ESRFs activities are supported by the Government of the United Republic of Tanzania, United Nations Development Programme (UNDP), African Capacity Building Foundation (ACBF) and International Development Research Centre (IDRC)