Warsha ya Wadau Mbalimbali Ili Kujifunza Teknolojia Mpya Ya Upangaji Makazi..

  Date: Thursday Aug 24, 2017

  Organiser: Taasisi ya Tafiti za Kichumi na Kijamii (ESRF)

  Place: Ukimbi wa Mikutano wa ESRF

  Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (Economic and Social Research Foundation-ESRF), inayo furaha kukuarika kuhudhuria warsha itakayohusisha wadau mbalimbali ili kujifunza teknolojia mpya ya upangaji makazi.

  Lengo kuu la Warsha hii ni kujenga uwezo kwa maofisa wa serikali za mitaa, wamiliki ardhi pamoja na madalali wanaoishi katika makazi ambayo hayajapimwa ili kusaidia kutengeneza makazi bora kwenye jamii katika kizazi cha sasa na kijacho.


  Last updated on 2017-08-23
ESRFs activities are supported by the Government of the United Republic of Tanzania, United Nations Development Programme (UNDP), African Capacity Building Foundation (ACBF) and International Development Research Centre (IDRC)